Become a KPR member, and enjoy cheaper prices immediately. Register here.
Kama ungependa kuwasiliana nasi, tafadhali jaza fomu hii ya kwenye tovuti na bonyeza kitufe cha tuma. Tutawasiliana nawe haraka iwezekanavyo. (kwa kawaida ni ndani ya saa 48, ingawa wakati mwingine huchukua siku 7-30, hasa kama utawasiliana nasi kwa lugha nyingine tofauti na Kiingereza, Kislovak au Kicheki). Jisikie huru kutuambia unafikikiri nini kuhusu tovuti yetu, bidhaa zetu, shirika letu au kitu kingine chochote kitakachokujia kwenye mawazo yako. Tunakaribusha maoni au ushauri wowote.
Kwa kuepuka matatizo ya kimawasiliano na sisi wakati wote TUMIA MAJINA YA KILATINI YA MIMEA kwani siyo wazungumzaji wazawa wa Kiswahili na hatuelewi majina ya mimea kwa Kiswahili.