Become a KPR member, and enjoy cheaper prices immediately. Register here.
Njia nzuri ya kuweka oda ni kwa kutuma oda yako kwa njia ya e-shop.
Malipo yako kwa pesa taslimu yanatakiwa kutumwa kweny anwani ya tawi letu la Ucheki. Malipo kwa kuhamisha fedha kwa njia ya benki yanatakiwa kulipwa kwenye akaunti yetu ya benki Slovakia, Bulgaria, Korasia, Ucheki, Hungaria, Montenegro, Polandi, Romania, Serbia
Benki nyingi kwenye Umoja wa Ulaya zinatoa hawala ya fedha ya kimataifa (kuhamisha fedha kwa njia ya benki) ndani ya Umoja wa Ulaya (Slovakia ni mwanachama wa Umoja wa Ulaya) bila ya gharama zozote kama sheria teleka na sheria za IBAN zitatolewa kwa usahihi. Gharama za benki zetu hakuna ada kwa haya malipo.
Oda za kimataifa zinasafirishwa kutoka Ucheki. Ada za posta zilizopo hapo chini ni kwa taarfa za jumla tu. Tutakujulisha kiasi halisi cha usafirishaji nchini kwako maramoja tutakapopokea oda yako.
Mwisho wa safari | Gharama za posta kwa Euro (€) kwa oda | ||||
hadi gramu 250 | hadi gramu 500 | hadi kg 1 | hadi kg 2 | zaidi | |
Ulaya - Orodha ya nchi | 4 € | 6 € | 8 € | 12 € | tutakujulisha |
Duniani kwa njia ya chini | 4 € | 6 € | 11 € | 14 € | tutakujulisha |
Duniani kwa njia ya anga | 5 € | 6 € | 12 € | 16 € | tutakujulisha |
Mwisho wa safari | Gharama za posta kwa Euro (€) kwa oda | ||||
hadi gramu 250 | hadi gramu 500 | hadi kg 1 | hadi kg 2 | zaidi | |
Ulaya - Orodha ya nchi | 5 € | 6 € | 10 € | 14 € | tutakujulisha |
Duniani kwa njia ya chini | 5 € | 8 € | 12 € | 15 € | tutakujulisha |
Duniani kwa njia ya anga | 7 € | 9 € | 14 € | 20 € | tutakujulisha |
For some countries you can order Express Delivery service. Guaranteed delivery within 4 days after sending the order, online Track&Trace of the shipment, insurance included.
However, as for our experience with such services, this shiping method if often several times slower, that our standard shipping method (air mail letter or parcel). For example for Asian countries it sometimes took even 30 days to receive your order (although guaranted delivery is 4 days only!), while delivery time of the standard air mail letter / parcel to the same destination takes only 7 days. Therefore we do not recommend to use EMS services as it is much more expansive and unfortunately much more slower.
Namba ya spishi zilizokuwa zikitolewa kuaniza 1998 hadi 2008
Inaporejea sheria za mbegu, bidhaa na mazao kama zilivyotumika, haimanishi tu mbegu, laikini pia mimea, sehemu za mimea au spishi zozote za mimea (mbegu, mimea, vipandikizi, tishu, poleni, nk.).
Bei zote ziko katika Euro. Tunakubali pia malipo katika Kc (sarafu ya Cheki), na Dola za marekani. Kubadilisha kwenye fedha nyingine zinazokubalika kunatakiwa kufanyika kulingana na kiwango chetu cha mabadilishano ya fedha. Gharama za usafirishaji hazikujumuishwa kwenye bei ya juu. Bai zetu zinategemea na hali ya msimu, matokeo ya upatikanaji wa mbegu, na kiwango cha ugumu katika uvunaji, uzalishaji na uhifadhi. Kwa hiyo bei zetu zinaweza kubadilika bila taarifa. Hii orodha ya bei (iliyochapishwa kwenye www.kpr.eu) inachukua nafasi ya orodha zote zilizopita. Akiba inategemea na mauzo ya mapema. Tafadhali angalia upatikanai ya akiba kabla ya kufanya malipo yoyote.
Malipo yako lazima yapokelewe mapema kabla ya kusafirisha. Malipo yako yanatakiwa yapokelewe na KPR ndani ya siku 15 baada ya KPR kuthibitisha oda yako.
Kwa kawaida oda husafirishwa punde baada ya kupokea malipo yako. Hakuna uwajibikaji wowote utakaochukuliwa kwa mbegu kupotea zikiwa safarini isipokuwa kama bima tuliandaa mapema kabla ya kusafirisha (hata hivyo hii ina maanisha gharama kubwa za usafirishaji)
Mara unapoweka oda na kulipia zinaweza kufutwa kwa ridhaa ya KPR tu.
KPR kwa kawaida inatoa miaka 2 ya dhamana ifuatayo:
- mbegu ni mpya, zipo na zina uwezo wa kukua
- mbegu na mimea ni ya kweli kulingana na maelezo na haiharibiwi na wadudu
miaka yetu 2 ya dhamana inaanzia tarehe ya kupokea bidhaa zetu.
Oda zote zinatakiwa kukaguliwa haraka zinapopokelewa na kwa sababu zozote zile malamiko yoyote yale yanapaswa kuandikwa na kupokelewa na KPR ndani ya siku 15 za kazi za risiti ya Bidhaa.
KPR hawatakubali malalamiko yoyote baada ya mbegu kuchezewa, kupandwa, kuhifadhiwa vibaya au zimetibiwa. Usirudishe mbegu bila ya kurusa yetu.
Kuweka oda kwa namna yoyote ile kunaonyesha kukubaliana na sheria na taratibu za hapo juu.
ATTENTION! Before placing an order find out about the plant import and phytosanitary regulations for your country. Do not import species forbidden by laws to your area. Many plants have become invasive weeds in far flung areas of the world, and while we cannot necessarily predict which plants will become invasive in which regions, most countries have lists of declared invasive weeds which people are requested not to grow, or can be prosecuted if they do grow them. Please consult your conservation authority, find out which plants you should not import and grow and take care that you do not unwittingly import any known or potential invasive aliens into your area.
When you place an order, you automatically herewith agree with the terms and conditions of the transportation company. Customers outside of the European Union: Please note that we cannot take any responsibility if your shipment is confiscated by you country due to your country's import laws, import permits or custom rules.